MIONGONI mwa makipa mahiri Afrika kwa sasa ni Djigui Diarra anayeidakia Yanga na timu ya taifa ya Mali akisifika kwa ubora wa kuanzisha mashambulizi, pia
Author: Admin
ONGEZEKO la fedha shilingi Trilioni 10 kwenye bajeti ya Wizara ya Tamisemi imeibua matumaini kwa Wanaharakati wa masuala ya kijinsia ambapo wanatarajia itakwenda kutoa chachu
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) imepokea mashine maalumu Mammography aina ya Senographe Pristina 3D yenye thamani ya milioni 800 kwa ajili
Morogoro. Mwanafunzi Hajirath Shaban aliyeuawa kwa kuchomwa kisu na watu wasiojulikana usiku wa Aprili 16 alipokuwa hosteli, anatarajia kuzikwa leo Aprili 18, 2024 kwenye makaburi
PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Derby’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati zikibakia siku mbili tu kwa miamba hiyo kushuka
NA EMMANUEL MBATILO VYUO Vikuu vina jukumu kubwa la kuwa injini ya ubunifu na ugunduzi kwani ni kitovu cha uzalishaji wa maarifa, ambapo tafiti bora
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Walimu 150 wa masomo ya sayansi waliokuwa wakijitolea katika shule mbalimbali za sekondari za Halmashauri ya Jiji la Dar es
Geita. Miradi 1,800 yenye thamani ya Sh7 bilioni iliyofuatiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita mwaka 2022/23 imebainika kuwa na
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa kutoka Zimbabwe, Prince Dube aliyeonekana kuwa na tabasamu usoni shauri lake dhidi ya waajiri wake limesikilizwa leo, Alhamisi na Kamati ya Sheria