MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu ‘Pembe’ amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani
Author: Admin
Kigoma – April 17, 2024, Serikali ya Marekani imezindua mradi wa USAID Lishe wenye thamani ya dola milioni 40, unaoendeleza ushirikiano wa muda mrefu
Dar es Salaam. Tanzania na Uturuki zimekubaliana kukuza biashara ya pamoja hadi kufikia Sh2.58 trilioni kutoka Sh890 bilioni iliyopo sasa. Wakati azma hiyo ikiwemo hiyo
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu
Dar es Salaam. Ajali ya helikopta imeondoa uhai wa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Francis Ogolla leo Aprili 18, 2024. Mbali na Jenerali Ogolla,
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza
Morogoro. Maziko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph aliyeuawa juzi kwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana akiwa kwenye eneo la hosteli za chuo hicho,
KATIKA Makao Makuu ya Klabu ya Yanga SC, unaweza kusema hakuna kulala kwani mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wameendelea kufanya amsha-amsha kama hamasa ya
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika