Nachingwea. Serikali imetoa Sh900 milioni kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya afya katika ospitali kongwe ya Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi ili kurahisisha utoaji wa
Author: Admin
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Janeth Mahawanga amehoji iwapo Serikali haioni umuhimu wa kuwatafutia maeneo wanawake wenye watoto wadogo wajasiriamali wanaofanya biashara zao pembezoni mwa
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA kwa kushirikiana na Bonde la Wami Ruvu wameunda na kuanzisha vikundi rafiki
Dodoma. Waziri George Simbachawene ametumia nukuu za viongozi wa zamani, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Edward Lowassa kuhimiza haki za raia, kujali usawa wa binadamu
Babati. Gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 VXR maarufu kama Shangingi lililotumika kuwabeba Waethiopia 17 walioingia nchini bila vibali na kutelekezwa Babati mkoani Manyara,
Dodoma. Mbunge wa Same Magharibi, Dk David Mathayo amehoji Serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa Watanzania kuonyesha umuhimu wa watoto kulelewa na wazazi
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola amesema hakuna mechi rahisi ya dabi wanawaheshimu wapinzani wao kutokana na kuwa bora lakini wao pia wamejiandaa kukabiliana nao.
Dodoma. Bunge limeelezwa kuwa watumishi 430 wataajiriwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mwaka 2024/25. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema hayo leo
JUMAMOSI ya wiki hii, kuna Kariakoo Dabi inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ni wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara
Dodoma. Serikali imesema tathmini iliyofanyika nchini inaonyesha gharama kubwa ya fidia ya mali zilizomo ndani ya eneo la hifadhi ya barabara lililoongezwa la mita 7.5