HONGERA sana Azam FC kwa kujihakikishia tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikiungana na Yanga iliyotwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu
Author: Admin

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Serikali ya Norway katika sekta mbalimbali.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi wakipata maelezo juu ya kifaa cha ECG mashine kinavyofanya kazi walipotembelea banda la MUHAS katika Maadhimisho ya Wiki

Benki ya NBC imezindua rasmi msimu wa tano wa mbio zake zinazofahamika kama NBC Dodoma Marathon msimu wa nne zinazotarajiwa kufanyika Julai 28 mwaka huu

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini anayemaliza muda wake, Godbless Lema amesema hatagombea tena kiti hicho, katika

Na Jane Edward, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuandaa Maonesho maalumu

Chato. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu mkoani Geita kuanzia Mei 31, hadi Juni 02, 2024. Lengo la ziara hiyo ya

Serikali imewapa changamoto wadau wa Sekta ya ununuzi wa umma kuhakikisha wanazingagtia misingi ya uadilifu, uaminifu na haki katika michakato ya ununuzi wa umma ili

Kampala. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among ni miongoni mwa vigogo watano nchini humo walipigwa marufuku kuingia nchini Marekani kwa madai ya kuhusika na