Afrika Kusini. Wakati wananchi wa Afrika Kusini wakipiga kura leo Mei 29, 2024, wafungwa katika gereza la Pollsmoor la Cape Town nao wamepiga kura kwa
Author: Admin

Dodoma. Serikali imesema katika mwaka wa fedha wa 2024/25 itaanza utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Daraja la Jangwani. Ujenzi huo ni sehemu

Na Mwandishi wetu MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umetoa mafunzo kwa waandishi wa habari 24 kutoka vyombo vya habari ngazi ya kijamii ambayo yamelenga kuongeza

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku saba, Jamhuri ya Korea, kufuatia mwaliko wa

Njombe. Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu Sugu ameibuka mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya

NA MWANDISHI WETU KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi.

CHUO cha Afya cha KAM College kilichopo Kimara jijini Dar es salaam ambacho kimebobea kwenye mafunzo ya sekta ya afya, kimepongeza juhudi za serikali katika

Unguja. Sakata la madhara yanayosababishwa na vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) limeibukia katika Baraza la Wawakilishi, ikielezwa kuna utafiti unaonyesha kinywaji hicho ni hatari

Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA imekabidhi vifaa vya shule na vya ofisi katika Shule ya Msingi Mnete iliyopo mkoani Mtwara ikiwa ni msaada kwa