UONGOZI wa Simba umeshindwa kumshawishi kocha wa makipa wa timu, Mhispania Daniel Cadena kuendelea kubaki baada ya kuandika barua ya kutimka Msimbazi. Cadena ambaye alitaja
Author: Admin

Chuo Kikuu Mzumbe kimewataka wahitimu wa Sekondari na waombaji wengine wanaotaka kujiunga na masomo katika chuo hicho kwa ngazi ya Astashahada, Stashahada, Shahada za Umahiri

Ni takribani umbali wa kilomita 35 kutoka Geita mjini, ikichukua takribani dakika 50 kwa msafara wa wadau wa elimu kuwasili katika sekondari ya Bung’wangoko ikiwa

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024

Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ameunda kamati maalumu ya Bunge ya kuchunguza mgogoro kati ya wawekezaji wa shamba la Efatha la
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu ni sehemu ya mikakati ya serikali katika

Mtama. Wananchi wa Kijiji cha Nahukahuka mkoani Lindi wameanza ujenzi wa zahanati ili kupunguza adha ya kutembea umbali wa kilometa tano kufuata huduma za afya

Na Mwandishi Wetu,Urambo Wakazi zaidi ya 6000 wa Kitongoji cha Kitega Uchumi wilaya ya Urambo mkoani Tabora wameondokana na changamoto ya maji baada ya

Shambulizi hilo lilisababisha moto mkubwa katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina. Israel kupitia waziri mkuu Benjamin Netanyahu imesema inachunguza tukio hilo ililoliita“ajali ya kusikitisha” na