BAADA ya kujihakikishia kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, Coastal Union imesema haitakubali kuondokewa kirahisi na nyota wake walioonyesha viwango bora, bali
Author: Admin

Raia wa Afrika Kusini wapatao milioni 1.6 waliokidhi vigezo vya kupiga kura mapema wameanza kufanya hivyo leo chini ya kiwingu cha wasiwasi wa kuvurugika usalama

Dar es Salaam. Wazazi nchini wametakiwa kuacha kuwaogopa watoto wao na badala yake wanaoaswa kuwafanya marafiki ili wafahamu kila changamoto inayowakabili. Kauli hiyo imetolewa na

Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni

‘AJE yeyote’. Ni kauli na tambo za Biashara United ikieleza kuwa tayari kukabiliana na mpinzani yeyote wa Ligi Kuu katika mchezo wa mchujo (play off)

Filamu ya Malawi, ‘Beyond The Last Mile – The Story of Rose Magayi,” imeshinda tuzo katika Tamasha la Filamu la Afya kwa Wote lililoandaliwa na

Wizara ya ulinzi ya Niger imesema kuwa mataifa matano ya kanda ya Sahel yamefanya luteka ya kijeshi magharibi mwa Niger. Mazoezi hayo yatakayoendelea hadi

Mbeya/Dar. Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, hatima ya uchaguzi uliofutwa wa kumpata mwenyekiti mpya wa Mkoa

UHUSIANO Baina ya Tanzania na Ufaransa umeendelea kuimarika hususani katika masuala ya biashara na uwekezaji ambapo kampuni zipatazo 27 kutoka nchini Ufaransa zimewasili nchini na

MWAKA 2018 kuelekea msimu mpya wa 2018/19, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ilikuwa na mojawapo wa mawazo bora kuwahi kutokea kwenye mpira wa Tanzania. Nalo