Wameutumia mkutano huo kufikia makubaliano ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kufufua mazungumzo ya kuhusu biashara huria. Mkutano huu umewaleta pamoja Rais wa Korea Kusini Yoon
Author: Admin

Unguja. Licha ya kuipitisha bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walitishia kuizuia bajeti hiyo wakimtaka Waziri mwenye
Na. Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi. Tanzania inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa

BAADA ya uwepo wa taarifa za Yanga kutaka kuachana na kipa Metacha Mnata, timu ya Ihefu inahusishwa kuzungumza naye na huenda msimu ujao akawa sehemu

Mkuu wa Polisi Wilaya ya Missenyi SP. Jonas Sira Soa, akiteta jambo na Afisa Usimamizi wa Fedha Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya Tehama katika kudhibiti makosa ya usalama Barabarani ambapo Jeshi hilo limebainisha kuwa kupitia mfumo

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake ya CCM, (UWT), Mary Chatanda na kusisitiza kuwa kelele wanazompigia

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, aliandamana na mwenyeji wake Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, na viongozi hao walifika kwenye eneo hilo la Makumbusho ya Wayahudi

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema hatishiki na kauli zinazotolewa na baadhi watu wanaomkosoa na kuwa atawapiga ‘spana’ (atawasema) wazembe hadi wanyooke.

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya