WAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Kampuni ya kuzalisha umeme -SONGAS ukitarajiwa kufikia ukomo tarehe 31 Julai,
Author: Admin

Dodoma. Sakata la Toto Afya Kadi limetinga tena bungeni na Serikali imeendelea kusisitiza msimamo wake kuwa kilichobadilika ni utaratibu wa kujiunga kupitia makundi, badala ya

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo

SERIKALI imesema kuanzia Mei mwaka 2021 hadi sasa imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 132,611 yenye thamani ya Sh 219.7 bilioni. Aidha, imetoa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Mei 27, 2024. (Picha na

Jumatatu ya Tarehe 27 Mei 2024 inatambuliwa kuwa Siku ya Kumbukumbu kote Marekani na ni siku ya kuwakumbuka wanawake na wanaume waliotoa maisha yao kwa

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Dkt. Natu El-maamry Mwamba akikaribishwa na Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika Mashariki katika Benki ya

Mkuu wa wilaya ya Mbogwe Bi. Sakina Mohamed amepiga Marufuku Mikopo umiza katika wilaya yake kwa madai imekuwa haiko kisheria kutokana na Akina Mama wengi

Burkina Faso. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traoré, imetangaza kuwa itaongeza muda wa utawala wa kijeshi kwa miaka mingine mitano.

Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Jeams Kaji amewataka wamiliki wa vyuo vikuu hapa nchini kuangalia uwezekano wa kuanzisha matawi ya vyuo vyao mkoani tanga