Mwanamke aliye fahamika kwa jina la Phunjo Lama wa Nepal alivunja rekodi siku ya Alhamisi ya kupanda kwa kasi zaidi mlima mrefu zaidi duniani Everest
Author: Admin

KUNA uongo na uzushi katika jamii kuhusu wanaume, wanawake na watoto wenye matende na ngiri maji kwamba wamerogwa. Baadhi wanasumbuliwa na imani potofu kuhusu magonjwa

Na Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital KUTOKANA na changamoto ya mawasiliano iliyopo kwa watu wenye ulemavu hususan wasio sikia na wasioona katika taasisi mbalimbali zikiwemo za umma

Raisi anazikwa leo katika eneo Takatifu zaidi kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo la Imamu Reza lililoko katika mji huo wa Mashhad. Mamia

Mbeya. Wakati wafanyabiashara wakifunga maduka katika Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya kwa madai ya kukithiri kwa utitiri wa kodi na unyanyasaji, Mamlaka ya Mapato nchini

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa amezitaka taasisi zinazoshughulika na masuala ya ya jinai kuhakikisha

KUNA matumaini finyu kwa Mtibwa Sugar kusalia katika Ligi Kuu Tanzania Bara wakati huu ambao imebakiza raundi mbili kumalizika. Mabingwa mara mbili wa zamani wa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Sita wa Mafundi Sanifu Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeongozwa na Kauli mbiu “Matumizi ya Akili

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Kepteni Hussein Mohamed Seif kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanaharakati hivi karibuni wamekuwa wakifanya maandamano wakishinikiza kupatikana Katiba Mpya iliyotokana na wananchi wenyewe. Anaandika Elvan