Liwale. Mawasiliano yaliyokatika kati ya wilaya za Kilwa Masoko na Liwale mkoani Lindi yamerejeshwa baada ya ukarabati wa daraja la muda katika Mto Zinga. Kukatika
Author: Admin

KUZAMA KWA MV. BUKOBA KULITOKANA NA MELI KUKOSA USTAHIMILIVU NA KULALA UPANDE MMOJA- PROF. MUKANDALA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amesema kuzama kwa Mv. Bukoba kulitokana

Katika hotuba yake kwa taifa Jumanne jioni, Zelensky amesema vikosi vya nchi hiyo katika eneo la Kharkiv,vinaendelea kupata ufanisi dhidi ya adui lakini akaonya hali

Moshi. Gabriel Chacha Chokela, ambaye ni askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Moshi, akikabiliwa na kesi

Na. Freddy Maro Arusha. Mei 21,2024. Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amemteua Bi Christine Mwakatobe kuwa mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi

Mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Yanga dhidi ya Azam FC sasa utapigwa Juni 2, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex,

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Staa wao Aziz KI ana maliza Mkataba wake Yanga SC mwisho

Kiongozi wa Juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ameongoza mjini Tehran, ibada ya kumswalia na kutoa heshima za mwisho kwa rais Ebrahim Raisi. Inaripoti Mitandao

Serikali imesema itaendelea kujenga uelewa kwa wadau mbalimbali kuhusu Kanuni na Miongozo inayosimamia Biashara ya Kaboni. Hayo yamebainishwa leo Jumanne (Mei 21, 2024) na Waziri

Waziri wa Maji Tanzania, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ambaye yuko nchini Indonesia kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika