Wakurugenzi wa halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe. Kauli hiyo imetolewa April 25,2024
Author: Admin

Dar es Salaam. Kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego kuwa wasichana watakaopata mimba katika umri mdogo, watakuwa washitakiwa wa kwanza katika

LEO Aprili 26, 2024 ni siku 125 tangu aliyekuwa straika wa Simba, Jean Baleke alipofunga bao lake la nane, Desemba 23, 2023 dhidi ya KMC

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amepiga Marufuku Baadhi ya wazazi na walezi wa wanafunzi wa kike waliokabidhiwa Baiskeli na Shirika la Plan International

Na Mwandishi Wetu, Arusha Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo

Zaidi ya nusu ya wakaazi wapatao milioni 2.3 wa Gaza wametafuta hifadhi huko Rafah, ambapo Israel imekuwa ikifanya mashambulizi ya anga karibu kila siku, huku

Iringa. Salamu ya Mhandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) kutoka Tamisemi, Emmanuel Mhiliwa ya ‘Kihesa Mgagao hoyeee’ na kujibiwa ‘hoi’ ilitosha kuonyesha wananchi wamekasirika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa

Baraza la mpito nchini Haiti limechukua mamlaka rasmi nchini humo katika hafla iliyofanyika hapo jana baada ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kutangaza kujiuzulu na

Waswahili wanasema mtaka cha uvunguni shurti ainame, na vijana wa sasa wanasema anaweza inua kitanda, uchaguzi ni wako, uiname au uinue kitanda… hebu twende pamoja.