Na John Mapepele Serikali imesema Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba, Nyati na Chui wengi katika bara la Afrika huku ikishirikilia nafasi ya tatu kwa
Author: Admin

Kilwa. Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Somanga Wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Akizungumzia ajali hiyo

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba

Kagera. Wanawake 347 mkoani hapa wamebainika kuwa na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi baada ya kufanyiwa uchunguzi. Jumla ya wanawake 4,689 wamefanyiwa uchunguzi

UJENZI wa ukarabati wa Soko la Kariakoo umefikia asilimia 93 kukamilishwa tayari kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko hilo ambapo hadi sasa hatua kadhaa zimeendelea kuchukuliwa ikiwemo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre,

Mbeya. Siku moja baada ya mgombea uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa kumtaka mpinzani wake, Joseph Mbilinyi “Sugu” kwenye meza ya mdahalo,

Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na Mradi waUboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) kwa kuandaliwa mipango ya matumizi yaardhi

ISRAEL: The Israeli military’s intelligence chief has resigned, saying he took responsibility for the failures before Hamas’s attack on Israel on 7 October. The Israel

Watu 13 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea Somanga kuelekea Kilwa Kivinje kugongana uso