Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 14, 2025 amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa Fujii Hisayuki (kulia kwake) na
Author: Admin
Askari wanaofanya kazi kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Songwe wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi pindi wanapotekeleza majukumu yao ya kusimamia sheria za usalama barabarani
Vijana wa Kijiji cha Ndolezi Kata ya Mlangali Tarafa ya Iyula Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wametakiwa kuacha tabia ya kucheza mchezo wa pool table
Na Oscar Assenga, Handeni. WATU 11 wamefariki dunia wa Kijiji cha Chang’ombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni Mkoani Tanga baada ya kugongwa na lori
Mbeya. Wakazi wa Igurusi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Wilbroad Mjengwa (38) na Maige Jirafu (44) wameauawa katika mgogoro wa kugombea shamba. Tayari Jeshi la Polisi
Bwana Guterres atakutana na viongozi wa kisiasa wa Lebanon. Pia anatarajiwa kusafiri kuelekea kusini kuona kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, UNIFILna kueleza
SIMBA imerudi nchini ikiwa na tiketi yake mkononi ya kucheza robo fainali ya sita kwenye mashindano ya Caf na kwenye msafara wa timu hiyo alikuwemo
NAHODHA wa kikosi cha Zanzibar Heroes, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefichua kujituma kwao mwanzo hadi mwisho ndiyo siri kubwa ya kuwa mabingwa wa Kombe la
Na Happiness Shayo-Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii
TAARIFA zinabainisha Tanzania Prisons imeachana na mpango wa kuendelea na mshambuliaji Kelvin Sabato, badala yake inapambana kusaka mrithi wake huku jina la Yusuph Athuman likitajwa.