TAARIFA zinabainisha Tanzania Prisons imeachana na mpango wa kuendelea na mshambuliaji Kelvin Sabato, badala yake inapambana kusaka mrithi wake huku jina la Yusuph Athuman likitajwa.
Author: Admin
Moshi. Mkazi wa Kijiji cha Kibaoni, wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Theodora Nisetas anayekadiriwa kuwa na miaka 65, anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu huku chanzo
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “DIKELEDI” katika Bahari ya Hindi mwambao wa pwani ya Msumbiji. Katika taarifa
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF, umeshiriki kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar ‘Zanzibar International Trade Fair’ ambapo umewawezesha wanufaika wa Mpango
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Dikeledi katika Bahari ya Hindi mwambao wa pwani ya
Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Ester Mahawe amefariki dunia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Mohamed Mchengerwa
MSHIKEMSHIKE umeendelea kuonyeshwa na timu mbalimbali katika Ligi Daraja la Kwanza Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo kuna vita kali ya kuwania kupanda Ligi
Meridianbet inakuambia hivi kuwa siku ya wewe kuondoka na kibunda ndio hii ya leo. Dortmund, Chelsea. Juventus wapo tayari kukupatia maokoto. Ingia kwenye akaunti yako
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema kama uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chama
Kwa wafanyakazi wengi, kutetea haki za binadamu si kazi tu, bali ni wito. Kama yeye alibainisha, wengi “hufanya kazi nje ya hisia ya kina ya