Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ambaye ametia nia ya kugombea urais kupitia chama chake, amesema akipewa ridhaa atashughulikia mambo
Author: Admin

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II.

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza amewataka Watanzania kuhakikisha mwaka 2025, wanatumia fursa

………… Tabora, Katika kuhakikisha wakulima wa tumbaku wanapata ruzuku za mbolea Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bw. Joel Laurent,

Dar es Salaam. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inaonyesha kuwa ni Watanzania watatu kati ya 10 pekee ndio wamesajiliwa

Dar es Salaam. Halmashauri nchini Tanzania hazijajipanga kukabiliana na maafa, hususan mafuriko, kutokana na kutotenga bajeti maalumu kwa ajili ya shughuli hizo muhimu. Hayo yamebainishwa

Moshi. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini uwepo wa utata katika uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA),

BODI ya Uwekezaji na Fedha ya Watumishi Housing Investment (WHI) ,imetembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba 101 unaotekelezwa katika eneo la

*Asisitiza hawawezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo Na Said Mwishehe,Tabora MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema

Na Mariam Mkamba, Tabora MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amewaahidi wakulima wa tambaku mkoani Tabora kuwa fedha zao za ruzuku