Mwanamuziki wa Hip-hop Sean Combs maarufu kama ‘Diddy’ akiwa bado yuko chini ya ulinzi wa jeshi la polisi huku akisubiri kufikishwa Mahakamani kutokana
Category: Burudani
Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwakataa wanaotaka kuwagawa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Jumatatu
Songea, Ruvuma Katika hali ya hamasa kubwa, umati mkubwa wa wananchi wa Mji wa Songea umejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Majimaji, kumshuhudia na kumsikiliza
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo itaendelea kuweka Mazingira bora ya kuendeleza sanaa na utamaduni wa Mzanzibari nchini
Songea. Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu unaendelea. Nderemo na vifijo vinavyosikika vinaakisi
* Kikwete kuongoza harambee matibabu yao mwezi ujao Mwandishi Wetu RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangia matibabu ya
WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema zama alizokuwa nazo za ubora kwa sasa zimeisha na anawaona Ladack Chasambi na Edwin Balua wanaokipiga Simba kuwa
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangia matibabu ya watoto 1,500 wanaougua magonjwa mbalimbali ya moyo ili wapate
Dar es Salaam. Kulikuwa na utaratibu wa kutumiana kadi za aina na jumbe mbalimbali. Kuna waliofanya hivyo kuwapa zawadi waliokuwa wakiadhimisha siku zao za kuzaliwa,
BENKI ya Taifa ya Biashara NBC imeshiriki msimu wa pili wa mbio za Ruangwa Marathon 2024 huku ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono