Dar es Salaam. Tumeshazoea wanyama kama mbwa, paka, simba, faru na wengine kupewa majina ya watu maarufu kwenye jamii zetu, lakini mwishoni mwa wiki iliyopita,
Category: Burudani
UMAARUFU wa kazi zao unawafanya wasanii kutengeneza chapa zenye ushawishi mkubwa na hivyo kujikusanyia mamilioni ya wafuasi katika mitandao ya kijamii kitu ambacho ni fursa
Msani Edrisah Kenzo Musuuza maarufu kwa jina la Eddy Kenzo ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Yoweri Museveni katika masuala ya Sanaa.
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally Mwanga Maarufu kama Marioo mapema leo ameitikia wito na kufika katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa lengo
Msanii wa Kundi la Zabron Singers, Marco Joseph amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Zuchu ameahidi kumpatia zawadi ya Gari aina ya Crown Msanii Anjella lenye thamani ya Milion 15. Hii
VIJIWE vya Bodaboda vya jijini Dar es Salaam na Dodoma vinatarajiwa kuchuana katika soka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani nchini.
Na. Andrew Chale, Zanzibar. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwan Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi ameweza
Rais Samia atoa vyeti kwa wahitimu 720 wa Mafunzo ya Ujasiriamali kupitia tamasha la kizimkazi 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan leo August 20,2024 ametoa Vyeti kwa Wahitimu 720 wa mafunzo mbalimbali ya kujikwamua kiuchumi
Mkoa wa Morogoro unategemea kuwa mwenyeji wa mashindano ya michezo ya majeshi itakayoaanza Septemba 6 na kumalizika Septemba 15 ambapo zaidi ya wanamichezo 1300 watashiriki