UKISIKIA funga kazi, basi ilikuwa jana wakati Yanga ilipohitimisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, saa 24 tu tangu Simba kufanya tamasha la Simba Day na
Category: Burudani
Ameandika Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally Hauhitaji muda mrefu ili kuwa na Tamasha zuri unahitaji muda mchache uliopangiliwa vizuri
MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ‘Bugatti’ amesema amemsilimisha rasmi Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mobetto kuwa shabiki wa timu hiyo ya Jangwani kutoka Msimbazi.
Ni Agosti 4, 2024 ambapo Wakali kutokea Bongo Flveni, Rayvanny na Marioo, Harmonize ni miongoni mwa wasanii waliopandaa kwenye shamra Shamra za Mwananchi ‘Yanga SC’
NYOTA wa muziki wa Bongo Felva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ a.k.a Konde Boy amewapagawisha mashabiki wa timu hiyo wakati wa kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ kilichofanyika
DJ maarufu nchini, Ally Suleiman Simba ‘DJ Ally B’, amegeuka msanii wa muda mfupi, nje na kazi yake ameamua kuimba nyimbo mbalimbali za wakongwe. DJ
MSANII wa vichekesho, Mboto amejigeuza Jose Mourinho wakati akiiongoza timu ya masupastaa wanaoishabiki Yanga akiwa kama kocha amefanya kituko cha kuamua kuingia uwanjani kumfokea straika
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Ally Mwanga ‘Marioo’ amewafanyia sapraizi mashabiki wa Yanga kutokana na aina ya uingiaji wake Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumbuiza sherehe
MSANII wa kizazi kipya ‘BillNass’ atua kivingine katika uwanja wa Benjamin Mkapa huku akitoa burudani ili washangaza mashabiki. Staa huyo alitua na kikundi chake kikiwa
YANGA imeendelea kufanya vizuri kila kona baada ya kikosi hicho cha Maveterani kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Wasanii, katika mchezo