Dodoma. Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) imesema imepokea jumla ya migogoro 136 inayohusiana na masuala ya hakimiliki ambapo migogoro 118 imefanyiwa kazi na kumalizika, migogoro
Category: Burudani

Wachezaji watatu, Fotius Ngaiza, Omary Sadiki na Jimmy Brown walikuwa kivutio, katika mashindano ya Ramadhani Star Ligi kutokana na uwezo wao. Ngaiza anayecheza nafasi ya

Dar es Salaam. Wakati zikiwa zimepita siku 12 tangu kuanza kwa biashara saa 24 eneo la Kariakoo, bado ufanyaji biashara usiku unasuasua, huku usalama ukitajwa

Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Haridi Ntamoye, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mke pamoja na mtoto

Msanii wa muziki wa dansi, Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’ amesema baadhi ya mashabiki wa Simba na vigogo wa klabu hiyo wamekuwa na shaka na

Arusha. Mamia ya wananchi wa Mkoa wa Arusha na mingine ya jirani wamejitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (IWD), ambayo kitaifa

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar, Shaib Ibrahim Mohamed amelishukuru Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, Save the Childen na Tanzania Bora Initiative, kwa

Na Oscar Assenga, TANGA. MSHEHERESHAJI aliyeibuka kinara katika Tuzo za MC Bora wa Mkoa wa Tanga 2025 Giliad Kianda “MC Kianda” amesema kwa sasa malengo

Unguja. Vijana 711,880 kutoka makundi tofauti wanatarajiwa kuongezewa ujuzi kulingana na fani zao nchini kupitia mradi wa vijana Plus. Mradi huo unaoanza mwaka huu hadi

Tanga. Ikiwa leo ndiyo mara ya kwanza unafika Tanga, usingeacha kujiuliza kwa msemo maarufu wa ‘Tanga ku nani?’ Sio mambo ya mahaba, bali ni mishemishe