Hii ni bajeti ya fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa michuano hiyo. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada Wizara ya
Category: Burudani
WASANII Washauriwa kutengeneza kazi zenye maudhui ya kiasili na kutumia lugha ya Kiswahili fasaha ili kuendelea Kutangaza lugha hiyo Kimataifa na kuvitangaza vivutio vilivyopo Tanzania
Maadhimisho ya Miaka 60 kati ya Tanzania na China katika sekta za Utalii na Utamaduni yaliyoambatana na Misafara ya Kutangaza Utalii wa Tanzania yamehitimishwa leo
MTAYARISHAJI wa muziki na msanii wa muziki kutoka lebo kubwa ya muziki nchini Nigeria, Chocolate City, Young Jonn anatarajiwa kuachia albamu yake ya kwanza, iitwayo
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Najma Giga amesema mavazi ya nusu utupu na maudhui ya filamu na muziki yanayoonyeshwa ndani ya mabasi yaendayo mikoani yanakiuka
Na John Mapepele. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maelekezo kumi yatasaidia kuimarisha sekta ya nyuki
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ametoa maelekezo kumi yatasaidia kuimarisha sekta ya nyuki ili iweze kuchangia mapato
KLABU ya Yanga leo imetoa ratiba ya sherehe zake za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Mei 25, mwaka huu zikiongozwa na paredi kutoka Uwanja wa
TAMASHA la Chimbo la Nyuki lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, limechagiza vyema shamrashamra zinazoanza za Maadhimsho ya Siku ya Nyuki Duniani
Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao (MOM) imeendelea kupokea maombi mengi kutoka kila pande ya Tanzania kutoka kwa ndugu zetu wenye uhitaji wa Baiskeli hizi.