Dar es Salaam. Serikali imesema itakuwa na mashahidi wawili wa upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayomkabili raia wa Burundi Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu
Category: Burudani
Kikundi cha ngoma ya kabila la Wafipa cha Mama Chanje wakionyesha Manjonjo yao ya kucheza ngoma zenye ujumbe mbalimbali mjini Sumbawanga, Rukwa, Tanzania hivi karibuni.
Handeni. Ulemavu haujamzuia kijana huyu kuzifikia ndoto zake. Kwake, umeibua fursa mpya za kumwezesha kuendesha maisha yake bila kumtegemea mtu, tofauti na baadhi ya wengine
Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaamMAMLAKA ya Maendeleo ua Biashara Tanzania (TANTRADE) imezindua shindano la ubunifu wa logo ya ‘Made in Tanzania’ ambapo kazi za wasanii
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali ombi la kuzuia dhamana ya mshtakiwa Ferdnand Ndikuriyo (27), maarufu Chuma cha Chuma, lililowasilishwa na
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali ombi la kuzuia dhamana ya mshtakiwa Ferdnand Ndikuriyo (27), maarufu Chuma cha Chuma, lililowasilishwa na
Dar es Salaam. Waswahili waliposema “Pombe siyo maji” hawakukosea hata kidogo. Ilitokea siku moja tukitayarisha mazishi ya rafiki yetu aliyetutoka siku moja kabla. Tukaliandaa kaburi
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kutokana na kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi,
Na Mwandishi wetu TAMTHILIA ya ‘Nice to Meet you’ inayowakutanisha waigizaji Lulu Abas ‘Lulu Diva’ na Hemed Suleiman ‘Hemed ‘PHD’ wenye uhasama kuzinduliwa rasmi Novemba
Ikiwa Leo November 14, 2024, Mkali kutokea Hip Hop, Stamina anasherehekea siku yake ya kuzaliwa sasa ameamua Pia kuachia Album yake mpya inayokwenda kwa jina