Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya utalii ina mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi wa nchi
Category: Habari

Rais wa Zamani wa Gabon Ali Bongo yuko kwenye mgomo wa njaa, akidai kuwa familia yake iliteswa walipokuwa kizuizini. Anaitaka Ufaransa kuwafungulia mashtaka waliohusika kwenye

Serengeti. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Evans Mtambi amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa huo kuwakamata watu wote waliohusika kwenye tukio lililosababisha watu wanne kujeruhiwa na

Na Stephano Mango, Mbinga MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Desderius Haule amebainisha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga itaendelea kutenga fedha za mapato

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam inawashikilia watu 27 kwa tuhuma za utapeli kupitia mtandao huku likikamata simu zaidi ya 41 na

Shirika la kimataifa la Nishati IEA limetangaza kuwa dola bilioni 2.2 za kimarekani zimeahidiwa na makampuni na serikali ili kuboresha upatikanaji wa nishati safi na

Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeutangazia umma na wateja wake kurejesha huduma za kimtandao kikamilifu, ikieleza walioshindwa kutumia huduma ya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania na kupata

Taarifa ya jeshi laUkraine imeeleza kuwa kutokana na mapigano makali, limeamua kuwahamishia wanajeshi wake katika maeneo ya Lukyantsi na Vovchansk ili kunusuru maisha ya askari

Siha. Mkuu wa wilaya ya Siha, Christopher Timbuka amewataka wananchi kutoa taarifa za watumishi wa umma wanaochelewa kufika kazini, ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi