Na Masanja Mabula, PEMBA. BARAZA la Wawakilishi Zanzibar ndio chombo chenye mamlaka ya kutunga na kuzirekebisha sheria ambazo zinaonekana kupitwa na wakati pamoja na zile
Category: Magazeti

Windhoek. Ijumaa iliyopita, Rais mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliapishwa kuwa Rais wa tano wa Namibia baada ya kushinda uchaguzi wa Novemba 27, 2024 akiwa

Iringa. Mzee Pascal Ndanga, (90), ambaye ni mkazi wa mtaa wa Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ameendelea kuwa mfano wa kupenda habari, akitembea kila

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, ametangaza kikosi cha mastaa 24 kitakachoingia kambini kesho Jumamosi, huku nahodha Mbwana Samatta

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imeagiza kusikilizwa shauri la kikatiba lililokuwa limefunguliwa na Paul Kaunda, dhidi ya Spika wa Bunge na Mwanasheria Mkuu

Dar es Salaam. Wakati kelele za mashine nzito za kuchapisha magazeti, harufu ya wino ikitanda kila kona ya kiwanda, Kissa Kyamba amesimama kando ya mtambo

Dar es Salaam. Ni simulizi ya Hellena Silas, mwanzilishi na mkurugenzi wa Kampuni ya Arena Recycling, inayojihusisha na urejelezaji taka za plastiki kutengeneza vifaa vya

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika mwaka 2024 kumekuwa na mafanikio makubwa ambayo yamewezesha pia thamani ya uwekezaji katika masoko ya

Rais Yoweri Museveni ameweka wazi msimamo wake kuhusu utata unaozunguka kizuizini kwa Dk Kizza Besigye akisema kuwa swali sahihi siyo kwa nini Dk Besigye alipelekwa

LEO ni Siku ya Wapendanao; yaani Valentine’s Dar, ngoja nizungumzie ishu ya wapenzi kununuliana zawadi. Hapa sizungumzii zawadi ambazo wengi wetu tumekuwa tukinunuliana siku