MUDA wowote Tabora United inaweza kumtangaza kipa raia wa Gabon, Jean Noel Amonome baada ya kukamilika ishu ya makubaliano ya mkataba. Tabora United inaendelea kujiimarisha
Category: Michezo
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita, taarifa zimefichua kuwa mshambuliaji, Eliuter Mpepo amemalizana na Singida Black Stars hivyo ni suala la
BAADA ya kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Singida Black Stars, beki Rashid Kawambwa amepelekwa Polisi Tanzania inayoshiriki Championship kuitumikia kwa mkopo hadi mwisho
KIUNGO wa zamani wa Mbeya City, Yanga na Namungo, Raphael Daudi Loth amekamilisha uhamisho wake kwa mkopo wa miezi sita kuitumikia Coastal Union. Awali, Daud
HABARI zinabainisha kwamba Dodoma Jiji imekamilisha usajili wa beki Mukrim Issa aliyekuwa akiitumikia Coastal Union tangu mwanzo wa msimu huu. Beki huyo alikuwa akiichezea Coastal
Last updated Jan 13, 2025 Beki wa kimataifa, Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Januari 14, 2025 amewaomba radhi
BEKI wa kati wa Simba, Che Malone leo amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kutokana kosa alilolifanya jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika
KLABU ya Songea United ya mkoani Ruvuma imekamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa TMA ya jijini Arusha, Abiud Mtambuka kwa mkataba wa miezi sita, huku
MABINGWA wa zamani wa soka nchini, Cosmopolitan imefikia uamuzi wa kumpa mkataba wa miezi sita aliyekuwa kocha wa Azam FC, Idd Nassor ‘Cheche’, ikiwa ni
BEKI wa kati wa Simba, Che Malone leo amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kutokana kosa alilolifanya jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika