Kiungo wa Simba, Jean Charles Ahoua mpaka sasa ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi ndani ya Simba katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na
Category: Michezo
KUNA wash’kaji hapa mtaani wamekuwa wakilalamika sana mara kwa mara pale timu ya taifa inapoitwa wakidai kunatakiwa kuwe na usawa kwa wachezaji kutoka klabu zote.
Yanga inajiandaa kusafiri kuifuata Al Hilal ya Sudan kwa mchezo wa raundi ya tano ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika ili kuisaka tiketi ya
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ongezeko kubwa la zawadi kwa washindi wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ya mwaka 2024 yatakayofanyika Kenya,
WAKATI mabosi wa Yanga wakiwa mezani kumalizana na mshambuliaji anayemudu kucheza kama winga, Jonathan Ikangalombo, kocha wa zamani wa AS Vita anayotoka nyota huyo wa
KIKOSI cha Simba kimeondoka alfajiri ya leo kwenda Angola kuwahi pambano la raundi ya tano la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos do Maquis,
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama aliyekuwa nje akiuguza majeraha, amerudi na alfajiri ya leo ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara wa timu hiyo
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa amekisaliti chama hicho na
Dar es Salaam. Ushindani unaoendelea katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unatajwa kuwapa wakati mgumu wagombea wa nafasi ngazi za
LICHA ya Ligi Bara Kuu kusimama kwa miezi miwili, kikosi cha Fountain Gate kimeamua kurudi mapema kambini kikipanga kuanza Jumamosi kujiweka fiti tayari kwa duru