KIKOSI cha Simba kimeondoka alfajiri ya leo kwenda Angola kuwahi pambano la raundi ya tano la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos do Maquis,
Category: Michezo
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama aliyekuwa nje akiuguza majeraha, amerudi na alfajiri ya leo ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara wa timu hiyo
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa amekisaliti chama hicho na
Dar es Salaam. Ushindani unaoendelea katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unatajwa kuwapa wakati mgumu wagombea wa nafasi ngazi za
LICHA ya Ligi Bara Kuu kusimama kwa miezi miwili, kikosi cha Fountain Gate kimeamua kurudi mapema kambini kikipanga kuanza Jumamosi kujiweka fiti tayari kwa duru
USHINDI ilioupata Kenya dhidi ya Kilimanjaro Stars na ule wa Burkina Faso mbele ya wenyeji Zanzibar Heroes, umeziweka timu hizo zilizoalikwa kushiriki michuano ya Kombe
SIKU chache tangu Mwanaspoti liliripoti kuwa Tabora United ilikuwa hatua ya mwisho kumshusha kipa wa timu ya taifa ya Gabon, mabosi wamekubaliano kutemana na kipa
MAAFANDE wa Tanzania Prisons wameongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji kwa kumnasa mshambuliaji Kelvin Sabato ‘Kiduku’ aliyewahi kuwika na Mtibwa Sugar, Singida Big Stars na
BAADA ya kutemwa na Fountain Gate, kocha Mohamed Muya ameibukia Geita Gold kuchukua mikoba ya Amani Josiah aliyetuaTanzania Prisons baada ya mwenyewe kuomba kuondoka ndani
MSHAMBULIAJI wa Yanga Sc Clement Mzize, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Klabu bingwa Afrika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Mchezaji