BAADA ya kutemwa na Fountain Gate, kocha Mohamed Muya ameibukia Geita Gold kuchukua mikoba ya Amani Josiah aliyetuaTanzania Prisons baada ya mwenyewe kuomba kuondoka ndani
Category: Michezo
MSHAMBULIAJI wa Yanga Sc Clement Mzize, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Klabu bingwa Afrika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Mchezaji
MECHI mbili ambazo Simba imecheza dhidi ya vibonde wa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien, zimempa faida mara mbili kocha wa timu
HESABU za Yanga hivi sasa ni kushinda mechi zao mbili zijazo za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal (ugenini) na MC Alger (nyumbani)
KATIKA sherehe za mwishoni mwa mwaka, Bernard Kamungo ambaye anaichezea FC Dallas ya Ligi Kuu Marekani ‘MLS’ alikuwa Tanzania kwa ajili ya mapumziko. Mwanaspoti lilipata
WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2025 ikishirikisha timu za taifa kwa mara ya kwanza, kikosi cha Kilimanjaro Stars kimejikuta kikiweka rekodi mbovu.
Baada ya kuanza kibarua chake, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, amesema licha ya ugeni alionao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini haoni kitu kipya
KLABU ya Kagera Sugar, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Tusker FC, Saphan Siwa Oyugi, kwa ajili ya kumsajili kama mchezaji huru. Hata hivyo,
MMESIKIA huko? Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi mikoba ya Patrick Aussems, ameeleza kuwa
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya