KLABU ya Kagera Sugar, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Tusker FC, Saphan Siwa Oyugi, kwa ajili ya kumsajili kama mchezaji huru. Hata hivyo,
Category: Michezo
MMESIKIA huko? Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi mikoba ya Patrick Aussems, ameeleza kuwa
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya
Meneja Mauzo kwa wafanyabiasha wadogo wakati na wakubwa wa Airtel Money, Janeth Kwilasa akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na wakati wa promosheni ya Santa
KITENDO cha kufungwa bao 1-0 dhidi ya Burkina Faso, kimeonekana kumkera Kocha wa Zanzibar Heroes, Ali Bakar Ngazija. Zanzibar Heroes imepokea kipigo hicho juzi katika
PLANET imetwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), baada ya kuifunga Eagles katika michezo 3-1. Fainali ya mchezo huo iliyochezwa kwa timu
BAADA ya jana Jumatatu michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 kuendelea kwa mzunguko mwingine baada ya Januari 3 na 4 kupigwa mechi mbili, leo ni
MASHABIKI wa Yanga wameanza kuchekelea wakisahau siku ngumu walizopitia kabla na baada ya kuondoka kwa kocha wao Miguel Gamondi kisha nafasi yake kuchukuliwa na Sead
ILE Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam imeendelea kushika kasi katika Uwanja wa Bandari, Kurasini, ambapo timu mbalimbali zinaendelea kuonyeshana
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameweka rekodi ndani ya timu hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, juzi dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia.