KIKOSI cha Singida Black Stars kimerejea mazoezini na leo kinatarajia kwenda Arusha kwa ajili ya kuweka kambi ya mwezi mmoja kujiweka fiti na michuano iliyopo
Category: Michezo
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Eliuter Mpepo ambaye aliwahi kufanya vizuri katika Ligi Kuu Zambia akiwa na Trident FC anajiandaa kutua Tabora United kwa mkataba
Kocha wa Simba, Fadlu Davids amefanikiwa kuruka kihunzi cha kwanza kati ya viwili ambavyo viliwashinda makocha wenzake katika misimu mitatu iliyopita ambayo Yanga ilitwaa ubingwa
FRANK Shagembe siyo jina kubwa ukitaja majina makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini lakini kwa sasa heshima yake imekuwa ikisumbua vichwa vya mabondia
Ushindi ndio lengo la kila timu leo wakati Zanzibar Heroes itakapocheza na Burkina Faso katika Uwanja wa Gombani, Pemba ikiwa ni muendelezo wa Kombe la
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu kwa sasa ni kuhakikisha inasalia Ligi Kuu ili msimu ujao ijipange. Timu hiyo iko nafasi
WAPINZANI wa Yanga Princess katika Ligi ya Wanawake, Mashujaa Queens yenye maskani yake jijini Dar es Salaam imesajili wachezaji wawili kwa mkopo kutoka kwa wananchi
TIMU ya soka ya wanawake ya vijana U17 ya JKT Queens inatarajiwa kuzindua michuano ya CAF kanda ya Cecafa inayoanza kesho kwa kuvaana na City
GET Program ambayo inapitia ukata itawapa mkono wa kwaheri nyota tisa ambao itashindwa kuendelea nao katika dirisha hili dogo la uhamisho kutokana na changamoto ya
KITENDO cha mabosi wa Pamba Jiji kutaka kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa timu hiyo, Eric Okutu, kambi ya mchezaji huyo Mghana imeibuka na kudai haikubaliani