SIMBA jana usiku ilifanya makubwa huko Tunisia ikiipasua CS Sfaxien kwa bao 1-0 la kiungo Jean Charles Ahoua, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu
Category: Michezo
BAO pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua limeipa Simba ushindi wa kwanza ugenini msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada
BAADA ya Simba Queens kumtambulisha golikipa, Wilfrida Seda kutoka Get Program, timu hiyo imemvuta tena straika Janet Mpeni kutoka timu hiyo. Kama usajili huo utakamilika,
SIMBA imefanya unyama mwingi sana baada ya usiku wa leo kupata ushindi wa kwanza wa kihistoria katika ardhi ya Waarabu kwa kuichapa CS Sfaxien ya
Mwanza/Dar. Wakati dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu kuwania uongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) likifungwa, mchuano unasubiriwa baina ya Freeman Mbowe
WAKATI mabosi wa KenGold wakipigia hesabu za kumsainisha aliyekuwa kiungo wa Yanga na Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, nyota huyo ameweka masharti mapya kwa viongozi
BEKI wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania, Gadiel Michael ameachana na Chippa United ya Afrika Kusini huku sababu za kuondoka klabuni hapo hazijulikani. Nyota huyo
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Aisha Masaka anayekipiga Brighton & Hove Albion ameondoka nchini baada ya likizo ya wiki moja na anatarajia kurejea uwanjani mwishoni mwa Februari
BAADA ya tambo za Watanzania wawili wanaokipiga katika Ligi ya Walemavu nchini Uturuki hatimaye mechi baina ya timu zao imemalizika kwa sare ya 1-1. Nyota
BEKI wa kulia Mtanzania, Kealey Adamson anayekipiga katika timu ya Macarthur ya Australia amekuwa mhimili mkubwa wa timu hiyo kwenye eneo la ulinzi. Kinda huyo