Bao la dakika ya 90 lilifungwa na Aboubacar Troure wa Bukina Faso lilizima matumaini ya Harambee ya Kenya kushinda mchezo wa kwanza wa Kombe la
Category: Michezo
KIKOSI cha Yanga kikiupiga mpira mwingi kwa mtindo wao wa ‘Gusa Achia Twenda Kwao’kimefufua tumaini la kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa
YANGA ikiwa inapambana uwanjani leo jioni ikiizamisha TP Mazembe kwea mabao 3-1, jukwaani akaonekana mshambuliaji mpya, Jonathan Ikangalombo, ambaye Mwanaspoti liliwaripotia kwamba yupo hatua ya
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema mshambuliaji mpya wa kikosi hicho raia wa Mali, Amara Bagayoko atakuwa na msimu bora ndani ya timu hiyo
Simba imetazama historia ya mechi zake 10 zilizopita za kimataifa ilizocheza ugenini na kugundua ina kazi kubwa ya kufanya katika mechi ya kesho jijini Tunis,
KIUNGO aliyekuwa anatajwa kujiunga na Yanga na ghafla dili lake kukwama, Kelvin Nashon ametoa sababu za kukwama kuwa ni kukosa nafasi ya kucheza mara kwa
MABOSI wa Tabora United wapo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kipa namba moja wa timu ya taifa ya Gabon, Jean-Noel Amonome. Kipa huyo
KAMA wewe ni mpenzi na shabiki wa Simba, basi tegemea kuona maajabu zaidi kutoka kwa kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua hasa kwa mechi za kimataifa,
WIKIENDI ya kibabe. Unaweza kusema ni Super Weekend kutokana na leo na kesho kuanzia hapa nyumbani hadi kule Ulaya kuna mechi za kibabe. Kwa leo,
MUDA mchache baada ya JS Kabylie kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA la Algeria, kocha wa timu hiyo aliyewahi kuinoa Simba, Abdelhak