MUDA mchache baada ya JS Kabylie kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA la Algeria, kocha wa timu hiyo aliyewahi kuinoa Simba, Abdelhak
Category: Michezo
WAKATI mashabiki wakianza kujiuliza mtaani na mtandaoni itakuwaje mara beki wa kulia ya Yanga, Yao Kouassi atakaporejea kutoka kwenye majeruhi kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na
BAO pekee lililowekwa kimiani na nahodha, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limeiwezesha timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kuanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi
Mastaa watatu wa Yanga, Maxi Nzengeli, Clatous Chama, Yao Kouassi ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao wataukosa mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa dhidi
Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 13 kuelekea uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya Chadema, baadhi ya wagombea wameanza kurejesha fomu. Wagombea waliorudisha fomu ni
Yanga itaingia rasmi kambini Avic Town leo Ijumaa kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuikaribisha TP Mazembe katika pambano la raundi ya nne ya Ligi ya Mabingwa
KOCHA mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud amekiri kibarua alichonacho baada ya kukabidhiwa mikoba ya kuinoa timu hiyo sio rahisi, licha ya kufurahia kukutana
MSHAMBULIAJI nyota wa zamani wa Majimaji, Yanga, Polisi Tanzania na Taifa Stars, Ditram Nchimbi amejiunga na Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi ya Championship kwa mkataba wa
KOCHA wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo ya jijini Mbeya iko katika mwelekeo mzuri, hasa baada ya kuwanasa aliyekuwa kipa wa
KIGI Makasi, nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mtibwa Sugar aliyetua Stand United ‘Chama la Wana’ amesema wachezaji na benchi la ufundi la timu