PAMOJA na heshima aliyopata kutoka Championship hadi Ligi Kuu, kocha mpya wa Tanzania Prisons, Aman Josiah anakabiliwa na mtihani mzito kutoboa. Josiah anatarajia kuinoa Prisons
Category: Michezo
UONGOZI wa KMC uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya winga wa Azam FC, Cheickna Diakite ‘Mbappe’ kwa mkopo wa miezi sita, baada ya nyota
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa KMC, Ibrahim Elias ‘Mao’ kutoonekana kikosini uongozi wa timu hiyo umemalizana na Offen Chikola kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini
SIKU kadhaa tangu amalizane na Azam FC iliyoamua kusitisha mkataba aliokuwa nao, kiungo anayemudu kucheza pia kama beki wa kati, Yannick Bangala amejiunga na AS
MDAU mmoja hapa kijiweni amehoji kwa nini kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kaitwa katika kikosi cha timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kitakachocheza kwenye
UKIHISI usajili uliofanywa na KenGold kumnasa winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kuwa ni jambo la kushangaza basi wewe amua tu kuachana
WIKI iliyopita ambayo ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2024, haikumalizika vizuri kwa mkoa wa Mara baada ya kamati ya usimamizi na uendeshaji wa ligi ya
LICHA ya kutajwa kumalizana na Fountain Gate (FOG), kiungo wa zamani wa Simba, Nassoro Kapama huenda akakutana na rungu la kufungiwa baada ya kudaiwa kusaini
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Heroes’ limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika
KIKOSI cha Simba kimeshatua Tusinia kwa ajili ya mchezo wa nne wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi CS Sfaxien, huku kipa Moussa Camara ‘Spider’ akiwatoa