Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Heroes’ limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika
Category: Michezo
KIKOSI cha Simba kimeshatua Tusinia kwa ajili ya mchezo wa nne wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi CS Sfaxien, huku kipa Moussa Camara ‘Spider’ akiwatoa
KIPA Diarra Djigui aliyekuwa nje ya uwanja kwa wiki kama mbili amerejea akianza kujifua, jambo lililompa furaha kocha wa Yanga, Sead Ramovic huku akijiandaa kukabiliana
MSAFARA wa TP Mazembe unatua leo nchini tayari kukutana na Yanga katika mchezo ambao kila timu inataka kuweka hesabu sawa kufufua matumaini ya kutinga robo
BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi
NGUMI za kulipwa ndio mchezo ulioifuatia soka kwa ubora mwaka 2024, na wadau wa michezo wanahofu michezo mingine kuendelea kudorora wakati soka ikidaiwa itazidi kuongoza
BAADA ya kuhitimisha duru la kwanza Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) ikiwa kileleni bila kupoteza mchezo, kocha mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema hawatabweteka
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua gari limewaka, amerudi kwenye ubora wake akifunga na kufanya balaa, huku akifunguka kuwa kwa namna walivyo fiti habari ya mtu
KAMA unafikiri ujio wa Israel Mwenda ndani ya Yanga umemshtua beki Kibwana Shomari, basi unajidanganya kwani mwenyewe ameweka wazi kuwa kuongezewa changamoto ya ushindani kunamkomaza
Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025