MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda. AS Vita inamtaka Mgunda kwenda
Category: Michezo
KIUNGO wa zamani wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu anayeichezea Singida Black Stars, amesema kuwa kurejea katika kikosi hicho kunadhihirisha ubora alionao. Chukwu ambye
YANGA inaingia kambini leo kuendelea na maandalizi kabla ya kukutana na TP Mazembe, Jumamosi Januari 4, lakini tayari imepewa mwamuzi wa bahati atakayeamua mchezo huo
Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia
WAKATI kikosi cha Simba kikielekea Tunisia alfajiri ya leo kuifuata CS Sfaxien, kiungo wa timu hiyo ambaye pia ni nahodha msaidizi, Fabrice Ngoma ametuma ujumbe,
Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia
YANGA inafahamu kuwa ina dakika 270 sawa na mechi tatu ili kuamua hatma ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Ili
KIPA wa Kagera Sugar ambaye amejumuishwa kwenye kikosi cha Kilimanjaro Stars kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, Ramadhan Chalamanda amesema ataitumia kama daraja
WAKATI KenGold ikiendelea kuimarisha kikosi, macho na masikio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini Mbeya ni kuona staa kutoka Ghana, Bernard Morison akitua
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza kuwa baada ya michezo iliyofanyika Desemba 29, 2024 ligi hiyo itasimama hadi Machi mosi itakaporejea kwa mzunguko wa 17.