UNAWEZA kuona kama mapema hivi lakini sio kwa Singida Black Stars baada ya kumshusha kocha Hamid Miloud na kumwambia anatakiwa kuhakikisha timu inashiriki michuano ya
Category: Michezo
Ahmed Arajiga na Frank Komba ni miongoni mwa marefa 63 walioteuliwa katika orodha ya awali ya waamuzi watakaofanyiwa mchujo wa kuchezesha fainali za mataifa ya
TIMU ya kikapu ya Polisi na Stein Warriors zinaendelea kukabana koo katika nafasi mbili za juu za Ligi ya Kikapu ya Daraja la Kwanza inayoendelea
POINTI 27-11 zilizofungwa na Kurasini Heat katika robo ya nne zilichangia kuishinda Premier Academy kwa 70-61 katika mchezo Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa
KAMA unadhani Yanga ya Sead Ramovic imemaliza, basi unajidanganya. Wengi wanadhani timu hiyo imefika kileleni, lakini ukweli ni kwamba kuna asilimia 20 ya kiwango ambacho
NYOTA wa Christ the King, Davidson Evarist anaongoza kwa kufunga pointi 300 katika Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza inayoendelea jijini Dar es Salaam. Nafasi
TIMU ya kikapu ya Eagles imeifunga Planet kwa pointi 63-55 katika fainali ya tatu ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA) iliyofanyika katika Uwanja
KOCHA Msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma amesema timu yao imetumika kwa asilimia 70 mzunguko wa kwanza hivyo bado wana mikakati imara mzunguko wa
SIKU moja baada ya kutangaza kikosi cha wachezaji 28 kinachoingia kambini kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Ahmed Ally amesema ni
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi hawezi