BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mgaya, amefariki dunia usiku huu muda mchache baada ya kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Category: Michezo
ALIYEKUWA kocha wa Cosmopolitan, Mohamed Kijuso amesema sababu za kufikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na timu hiyo ni kutokana na mwenendo mbaya, ingawa
MABOSI wa ‘Chama la Wana’, Stand United wameanza kuboresha kikosi hicho katika dirisha hili dogo kwa kuingiza nyota wapya watano watakaoongeza morali na wale waliopo,
MSHAMBULIAJI wa Henan Jianye ya China, Opah Clement amesema chakula ni kati ya vitu vilivyompa changamoto nchini humo. Nyota huyo alijiunga na timu hiyo akitokea
KIUNGO wa Chippa United ya Afrika Kusini, Baraka Majogoro amesema unapocheza na timu kubwa kama Mamelodi Sundowns maandalizi yake yanakuwa tofauti. Mtanzania huyo ni msimu
HAZUNGUMZWI sana, lakini namba alizonazo katika timu ya Yanga zinambeba, Clement Mzize aliyegeuka kuwa mshambuliaji hatari na muhimu wa kikosi hicho kilichopo chini ya kocha
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amesikia kelele za mashabiki wanaomponda Ellie Mpanzu, kisha akamkingia kifua kwa kumtetea akisema wanambeza leo ndio watakaomshangilia baadaye, huku akiitaja
MASHABIKI wa Yanga wanamuona beki mpya aliyetua hivi karibuni kutoka Singida Black Stars, Israel Mwenda mazoezini tu, lakini bado hajaweza kuruhusiwa kuanza kucheza lakini imefahamika
KLABU ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kumpa mkataba hadi mwisho wa msimu huu aliyekuwa kocha wa Geita Gold, Amani Josiah, ikiwa ni muda mfupi