MASHUJAA jana ilipoteza kwa mabao 3-1 mbele ya Dodoma Jiji ikiwa ni kipigo cha tano kwa timu hiyo katika mechi 16 za Ligi Kuu Bara
Category: Michezo
Adhabu mbalimbali zilizotolewa na kamati ya uendeshaji na usimamizi ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuvuna Sh10.5 milioni. Adhabu hizo zimetokana na makosa mbalimbali
KIPA namba moja wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’, ameendelea kung’ara katika Ligi Kuu Bara, kwa sasa akisaliwa na clean sheet tatu tu aifikie rekodi iliyowekwa
YANGA ni kama imejibu mapigo kwa watani wao wa Simba, baada ya jioni hii kupata ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate
MIGUEL Gamondi, aliyewahi kuinoa Yanga na kujizolea sifa kibao kwa mafanikio aliyoyapata akiwa na timu hiyo, inadaiwa ameikaushia ofa aliyopewa na AS Far Rabat ya
KIUNGO wa Zed FC, Mtanzania Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema Ligi ya Misri imekuwa ngumu kiasi ambacho ukipoteza mchezo mmoja unasogea hadi nafasi ya chini. Nyota
WINGA wa FC Masar inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Hasnath Ubamba amesema lugha ya Kiarabu ambayo ndio inatumika nchini humo ikiwamo mazoezini ni ngumu
IKIWA imesalia siku moja kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025, baadhi ya mastaa wa Tanzania wanaocheza nje ya nchi wako nchini kula likizo za sikukuu.
WAKATI klabu zikiendelea kuvuta silaha mpya kwa ajili ya kujiboresha, kocha wa Bigman, Zubery Katwila amesema hatokuwa na haraka katika kuwaingiza wachezaji wapya, licha ya
KATIKA kuhakikisha TMA inafanya vizuri katika Ligi ya Championship msimu huu, kocha mkuu wa kikosi hicho, Maka Mwalwisi ameweka wazi kuridhishwa na safu yake ya