ALIYEKUWA kocha mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema ni heshima kubwa kupata nafasi ya kuifundisha timu ya taifa ya Libya, akiwa kocha msaidizi wa
Category: Michezo

BEKI wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga na Singida Big Stars, Juma Abdul ameitaja 5-Bora ya washambuliaji aliowashudia ubora wao kwa namna walivyokuwa wanawaliza mabeki

Unaweza kusema ni kijana barobaro au vijana wa 2000 kutokana na umri wao kwenye soka tangu wabadilishwe jina kutoka Vasco Da Gama hadi kuitwa Stellenbosch

Unaikimbuka TP Mazembe ile ya kuanzia mwaka 2014 hadi 2016? Ndiyo, Kocha wa sasa wa Yanga Miloud Hamdi alikufa na USM Alger yake katika mechi

Bao moja ambalo Saimon Msuva ameifungia timu yake ya Al Talaba dhidi ya Al Karma juzi kwenye Ligi Kuu ya Iraq, limemfanya nyota huyo wa

Refa mzoefu Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na

Refa mzoefu Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na

Dodoma. Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe leo Jumatatu April 14, 2025 bungeni jijini Dodoma ameihoji Serikali kama haioni haja ya kutafsiri sheria ili kuruhusu

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya CAF, Simba imeamua kuwapeleka wapinzani wao wa mechi za nusu fainali, Stellenbosch ya Afrika visiwani Zanzibar. Simba itavaana

MSHAMBULIAJI wa Trident FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Zambia, Mourice Sichone amesema tayari ameanza kupokea ofa kutoka Ligi Kuu nchini humo. Akizungumza na Mwanaspoti,