KAMA we’ ni shabiki wa Simba na ulikuwa na mawazo huenda kiungo Fabrice Ngoma anaweza kuondoka hivi karibuni, basi sahau kwani nyota huyo kutoka DR
Category: Michezo
YANGA imerudi kwa mshambuliaji wa Ghana aliyekuwa katika hesabu tangu msimu uliopita, huku Singida Black Stars ikiwa tayari kwenye mazungumzo naye. Mshambuliaji huyo anakumbukwa zaidi
Ushindi wa mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara kwa Yanga tangu ianze kufundishwa na Kocha Sead Ramovic, umewafanya mashabiki wa timu hiyo kupata jeuri
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maabad ameziingiza vitani Tabora United na klabu anayoichezea sasa aliyomaliza nayo mkataba, baada ya kila upande kutaka kupata huduma yake,
NYOTA wa Mashujaa Kigoma, Crispin Ngushi, amefunguka jinsi ushindani wa namba aliokumbana nao Yanga ulivyomjenga na kuwa alivyo sasa kwa Wana Mapigo na Mwendo. Ngushi,
KLABU ya Fountain Gate a.k. a FOG imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Mtibwa Sugar, Kassim Haruna ‘Tiote’ kwa mkataba wa mwaka mmoja, baada ya
Unaweza kusema ilikuwa ni zaidi ya burudani kwa Watanzania katika pambano la Knock Out ya Mama lililoanza usiku wa jana Desemba 26 na kufikia tamati
KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job ni kama wametofautiana juu ya kasi na mwenendo wa timu hiyo iliyoshinda
UTAMU wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) unaendelea leo kwa mechi tano za kufungia mwaka, huku macho na masikio ya mashabiki yataelekezwa kwenye Uwanja wa
KIWANGO cha JKT Tanzania katika kujilinda kinaweza kuwa mtihani mwingine wakati leo itakapokuwa mgeni wa Azam FC inayonolewa na kocha Rachid Taoussi ambaye alipata nafasi