KAMA ulidhani ishu ya udanganyifu wa umri ipo katika ngazi ya juu tu ya soka la Tanzania, basi ulikuwa unajidanganya, unaambiwa zaidi ya wachezaji 10
Category: Michezo
KAZI imeanza Simba. Na inaanzia langoni. Simba imeanza mchakato wa kusuka upya kikosi chake na tayari mezani ina majina mawili ya makipa wa kigeni ambapo
BAADA ya uchunguzi wa Mwanaspoti kubaini takribani viwanja 14 vinavyotumika na timu za Ligi Kuu havikidhi vigezo vya mwongozo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
TUZO za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa msimu huu zitafanyika wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii tofauti na mwanzoni zilipokuwa zinafanyika
KATIKA kila nchi wapigakura huwa na mambo yanayowafanya kuamua chama gani wakichague wakati wa uchaguzi, ambapo wapo ambao hukichagua kuongoza kwa kuamini kutakuwepo na amani
Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza, Rashid Kiwamba amedai mahakamani kuwa mkewe Habiba Mohamed amemtapeli Sh4 milioni fedha ya nyumba waliyouza eneo la Ulongoni. Inadaiwa
Dar es Salaam. Upande wa mashitaka katika kesi ya kesi ya kusafirisha nyara za Serikali ikiwemo mifupa 1107 ya simba yenye jumla ya thamani ya
SIKU moja baada ya nahodha, John Bocco kuaga mashabiki na wachezaji wenzake wa Simba, kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda amesema yeye ndiye
KIPA wa Coastal Union ya Tanga, Ley Matampi amefunguka siri ya mafanikio yake ya kuongoza kwa clean sheet, akimtaja kipa wa Yanga Djigui Diarra ambaye
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amempongeza Stephane Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora akipachika mabao 21 huku akiweka wazi kuwa alistahili. Fei