LIVERPOOL, ENGLAND: JURGEN Klopp ameondoka England baada ya kudumu Liverpool kwa misimu tisa na anahitaji kupumzika. Klopp alisema ameushiwa nguvu ya kuendelea na kazi hiyo
Category: Michezo
PATRICE Motsepe. Mtu na pesa zake. Ana utajiri wa Dola 3 bilioni. Haupati ubilionea kama hauna akili. Sio lazima ziwe akili za darasani. Zinaweza kuwa
WIKI iliyopita Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo iliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi yake kwa mwaka 2024/25 yaliyoonyesha ongezeko kubwa la zaidi ya
Mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya NBC (NBC Premiere League), Benki ya NBC, imekabidhi kombe la ubingwa wa ligi hiyo kwa timu ya Yanga SC
WACHEZAJI wa gofu kutoka klabu mbalimbali nchini, wameanza kujinoa kwa ajili ya mashindano, yanayotarajia kufanyika Morogoro Gymkaha, kuanzia Juni 14 hadi 16. Mashindano hayo yapo
INAWEZEKANA hii ikawa ni mara yako ya kwanza kumsikia beki wa kulia wa Macarthur FC, Kealey Adamson anayecheza soka la kulipwa Australia. Kama ni hivyo
Kikosi cha Simba bado kipo jijini Arusha kwa ajili ya pambano la mwisho la Ligi Kuu Bara ili kujua hatma ya ushiriki wa timu hiyo katika
BAADHI ya wafanya biashara wa Machinga Complex na Kariakoo, wamesimamisha shughuli zao kwa muda wakishuhudia msafara wa Yanga ukipita, huku wanaoishabikia timu hiyo wakiamsha shangwe
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul ‘Harmonize’ a.k.a Konde Boy au Jeshi amewapagawisha mashabiki kwa kuwaimba vionjo vya baadhio ya nyimbo zake
NANI anafuatilia maendeleo ya Azam FC? Najua sio watu wengi. Ni wachache sana. Kwanini? Kwa sababu sio timu inayopendwa sana. Mashabiki wengi wa soka nchini