RAISI wa Yanga, Injinia Hersi Said amewahakikishia mashabiki wa Yanga leo Jumapili kwenye sherehe za ubingwa za timu hiyo kuwa hakuna mchezaji muhimu hata mmoja
Category: Michezo
NAHODHA wa Yanga, Dickson Job amezungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake, kuwashukuru mashabiki kwa sapoti yao, tangu msimu huu kuanza hadi kufanikiwa kuchukua ubingwa. Job
MSAFARA wa Paredi la Kibingwa la Yanga inayosherehekea ubingwa wa 30 katika Ligi Kuu Bara na wa misimu mitatu mfululizo haushi vituko, kwani mara ulipoibukia
KATIKA msafara wa Yanga, bodaboda wamepata fursa ya kupiga pesa, kutoka kwa mashabiki ambao wamechoka kutembea na kuamua kutumia usafiri huo. Mwanaspoti lipo kwenye msafara
USHABIKI wa soka sio mchezo aisee. Mama mmoja amejikuta akitofautiana na baba mmoja waliyekuwa wameambatana baada ya kuuona msafara wa Yanga.
PAREDI la Kibingwa, linalofanywa na Yanga katika kutembeza Kombe la Ligi Kuu ililokabidhiwa jana, limesababisha baadhi ya shughuli jijini Dar es Salaam kwa muda ili
KIPIGO cha bao 1-0 ilichopewa na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa jana jijini hapa kutokana na bao la mapema la Saido Ntibazonkiza,
KIPA wa Tabora United, John Noble ameshindwa kujizuia na kuweka bayana kwa mtazamo wake Kiungo Bora kwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ni Stephane
MAAFANDE wa Tanzania Prisons imejihakikisha kusalia katika Ligi Kuu Bara baada ya leo kupata sare ya 2-2 ikiwa ugenini mbele ya Namungo na kutuliza presha
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI amesema kuhusu suala la kuongeza mkataba mpya ishu hiyo anaichia timu hiyo ambayo ameitumikia kwa msimu wa pili. Aziz KI