NDOTO za Mlandege kumaliza katika nafasi ya nne zimefikia tamati baada ya jana jioni kukandwa bao 1-0 na Uhamiaji, huku Mafunzo ikibanwa nyumbani na Hard
Category: Michezo
BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata Coastal Union dhidi ya Kagera ugenini, leo Mei 25 itakuwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga kuikaribisha
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Geita Gold na Singida Fountain Gate utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida utakuwa ni vita ya
KANDA ya Kati kutakuwa na vita ya kipekee. Ihefu itakuwa nyumbani uwanja wa Liti kuikaribisha Dodoma Jiji. Katika mechi hiyo itakayoanza saa 10:00 jioni itakuwa
NA filimbi ya mwisho itapigwa na mwamuzi wa pambano la baadaye leo kati ya Manchester United na Manchester City. Mwamuzi atakayepuliza filimbi hiyo ni Andrew
SIMBA wana Ladack Chasambi wamoto na KMC wanatambia Wazir Junior. Shughuli ipo kesho kwenye Uwanjwa Sheikh Amri Abeid. Ni wachezaji wawili wazawa ambao katika wiki
MABOSI wa timu ya Mtibwa Sugar umewapiga chini, Kocha mkuu wa timu hiyo, Zuberi Katwila pamoja na wasaidizi wawili, Kocha wa Makipa, Patrick Mwangata na
KIKOSI cha Simba kipo jijini Arusha na kesho jioni kitashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili KMC katika pambano la Ligi Kuu Bara, huku
YANGA kesho wanaanza bata rasmi la ubingwa kwenye Uwanja wa Mkapa. Ni zamu ya Dijei kuwaleta chini ya gwaride na saluti za aina yake watakazopigiwa
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameshindwa kujizuia kwa kumtaja kiungo Maxi Nzengeli, kuwa ni miongoni mwa wachezaji waliokibeba kikosi hicho msimu huu, tofauti na mitazamo