WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM wameishusha rasmi Maendeleo baada ya jana kuifumua mabao 7-0 katika mechi ya ligi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa
Category: Michezo
KAMA ilivyozoeleka kwa wachezaji wengi kuongelea historia zao na kusema walikuwa na vipaji tangu utotoni,wengine wakienda mbali zaidi na kusema wapo watu waliowaridhi katika familia
VIONGOZI wa Ihefu, wamevutiwa na kiwango anachokionyesha mshambuliaji wa KMC, Waziri Junior na tayari wameanza mazungumzo naye, kama watafikia mwafaka huenda msimu ujao akawa sehemu
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ametumia siku 150 kumpindua aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Jean Baleke katika ufungaji wa mabao ndani ya timu
BATO ya ufungaji wa mabao ya Ligi Kuu Bara, baina ya viungo Stephane Aziz Ki wa Yanga na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC,
KATIKA fainali za 22 za Kombe la Dunia zilizofanyika Qatar mwaka juzi, wachezaji wawili Concalo Ramos wa Ureno na Kyllian Mbape wa Ufaransa ndio walioibuka
IMESALIA miezi saba kabla ya kufika mwaka 2025 ambapo Tanzania itashiriki fainali za mataifa ya Afrika mwakani nchini Morocco. Tanzania ni miongoni mwa timu nane
SIMBA imeshtuka hii ni baada ya kuamua kumuita kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin haraka kwa ajili ya makubaliano ya mkataba mpya baada ya baadhi ya timu
DILI la Yanga na beki Chadrack Boka wa FC Lupopo limeingia ugumu baada ya pande zote mbili kukaa mezani kwa saa saba bila kufikia muafaka.
Mamia ya wadau wa riadha nchini wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha riadha mkoa wa Pwani, Joseph Luhende. Luhende ambaye amewahi kuwa