MUDA mchache baada ya uongozi wa Mashujaa FC kuweka bayana kuachana na kinara wa mabao wa timu hiyo, Adam Adam mchezaji huyo amevunja ukimya na
Category: Michezo
MABAO mawili aliyofunga kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki katika ushindi wa wa 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji yamemfanya kufikisha 17, hivyo kuwa kinara
Mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Yanga dhidi ya Azam FC sasa utapigwa Juni 2, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex,
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Staa wao Aziz KI ana maliza Mkataba wake Yanga SC mwisho
Timu za Tanzania za wanawake na wanaume (U15) zinazoshiri michuano ya African Schools Football Championship 2024 inayoendelea Zanzibar, zimefuzu nusu fainali ya mashindano hayo. Timu
KIUNGO wa Asec Mimosas Serge Pokou amesema anasubiri tiketi ya ndege kutoka Simba ili atue Dar es Salaam. Hivi karibuni gazeti hili liliripoti kuwa Simba
Simba imeendelea kuifukuza Azam FC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, dhidi ya Geita Gold kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja
MOJAWAPO kati ya semi za Kiafrika ni ile inayosema kwamba “kama unataka kwenda mbali, nenda na wenzako na kama unataka kwenda haraka, nenda peke yako.”
Mwanza. TIMU ya Mwadui FC imefanikiwa kupanda daraja kwenda Championship baada ya kuifunga Copco FC kwa jumla ya mabao 5-2 kwenye mchezo wa mtoano (play
Timu ya Azam FC, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Meja