MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wana raha mara mbilimbili, mojawapo ikiwa ni kutokana na kufanya vizuri kwa timu yao na pili mchakato wa kuboresha kikosi
Category: Michezo
WAKATI Yanga ikisubiri kujua hatIma ya sakata la kimkataba la mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube Inayempigia hesabu za kumchukua mwisho wa msimu huu, mabosi
BONDIA wa uzito wa juu raia wa Ukraine, Usyk Oleksandr ameandika historia ya kuwa mwanamasumbwi wa kwanza ndani ya karne ya 21 kupata hadhi ya
KIPA wa Tabora United, John Noble amesema Yanga ilistahili kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, akitaja sababu ni ubora na ilikuwa na kikosi
Timu ya Mtibwa Sugar leo imetoka ssuluhu na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye uwanja wa Manungu Complex, Turiani, Morogoro jambo linalozidisha
BEKI wa kushoto wa Yanga, Nickson Kibabage amesema kwamba alijikuta hospitali baada ya kupoteza fahamu katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Ihefu
Timu ya Mtibwa Sugar leo imetoka ssuluhu na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye uwanja wa Manungu Complex, Turiani, Morogoro jambo linalozidisha
Uwanja wa Sokoine umeendelea kuwa wa bahati kwa Mashujaa baada ya leo kuikanda mabao 2-1 Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na kuongeza
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa kushoto akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Rashid Hadidi Rashid ili kuukimbiza
KLABU ya Yanga leo imetoa ratiba ya sherehe zake za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Mei 25, mwaka huu zikiongozwa na paredi kutoka Uwanja wa