RIYADH, SAUDI ARABIA: HESHIMA mjini. Vijana wengi wanapenda kusema baada ya kupata mafanikio hasa pesa. Juzi usiku Mei 18, Aleksandr Usyk alimkalisha Tyson Fury pambano
Category: Michezo
Chelsea ya wanawake yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu England BAO la dakika 90 lililowekwa kimiani na Salum Akida Shuruku lilimeiwezesha watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar
AZAM FC imetangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo Jumamosi
SIMBA imetuliza presha kwa Kibu Denis ambaye imefanikiwa kumbakisha, lakini sasa kuna jipya tena na ikizubaa kidogo yule mido asiyechoka mithili ya mnyama punda atang’oka
UMEPITA mwezi mmoja tangu kufanyika kwa mashindano makubwa ya dunia ya mbio za Boston Marathon nchini Marekani, ambapo mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay
Kibaha. Kambi ya Ruvu JKT Kibaha Mkoa wa Pwani imeanza kuingiza aina mbalimbali za wanyama kutoka porini ndani ya eneo lenye ukubwa wa zaidi ya
UMEPITA mwezi mmoja tangu kufanyika kwa mashindano makubwa ya dunia ya mbio za Boston Marathon nchini Marekani, ambapo mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay
Yanga inashuka dimbani ikiwa tayari imetawazwa kuwa bingwa wa Ligi Kuu ikisaka taji la pili dhidi ya Ihefu FC kwenye mchezo huo utakaochezwa saa 9:30
HUWA nasema na nitaendelea kuamini hivyo kila siku. Clatous Chama ndiye mchezaji wa kisasa aliyeweka kiwango cha ubora kwenye Ligi ya Tanzania Bara. Ni kweli
ZIMETIMIA siku 108 ambazo ni sawa na miezi mitatu bila uwepo wa mshambuliaji Prince Dube ndani ya kikosi cha Azam FC, lakini kinachofurahisha ni Feisal