SAA 24 tu, tangu maafande wa KVZ walipoifumua Maendeleo 7-3 katika mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), vinara wa ligi hiyo, JKU imejibu mpigo
Category: Michezo
KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam
HENOCK Inonga ameomba udhuru aende Ufaransa kupumzika, lakini kuna machale yanawacheza viongozi wa Simba juu ya uamuzi wa beki huyo kufosi kuondoka hasa wakikumbuka awali
“..USHAHIDI upi mwingine unahitaji?” Hakusema mdomoni. Moyo wake ulikuwa unaongea. Asingeweza kutamka hivyo mdomoni wakati akirekodi video yake ya kuaga. Kylian Mbappe. Amewaaga PSG mapema
NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya
BAADA ya JKT kuifunga Vijana ‘City Bulls’ kwa pointi 70-55, kocha wa timu hiyo, Chris Weba amesema pointi 25-13 walizopata katika robo ya tatu, ndizo
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Kigoma, Aq Qassim Anasi amesema idadi ya watoto wanaojifunza mchezo huo imeongezeka. Akizungumza na Mwanaspoti
SIMBA imeendelea kukabana koo na Azam FC ikifukuzia nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mechi yake ya mwisho ugenini
SIMBA imekubali yaishe baada ya watani zao wa jadi Yanga kubeba ubingwa wa ligi kwa mara ya tatu mfululizo, jambo lililowaumiza Wekundu wa Msimbazi hao
WAKATI homa ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la FA kati ya Yanga dhidi ya Ihefu FC ikizidi kupanda, kiingilio katika mchezo